Condition on revival and preparation for
revival
Masharti ya ufufio na kujiandaa kwa ufufio
By Vagn Rasmussen Translation by
Kuna aina nyingi za ufufio.
Unapokea aina ya ufufio unayoiombea na kupokea unachohitaji kwa imani .
Ufufio inaweza kuwa ya mashinani au ya taifa nzima, ufifuo waweza kuwa wa muda mfupi au muda mrefu.
Ufifuo huanzwa na mtu au Roho mtakatifu.
Utafsiri wa Biblia katika lugha ya kijerumani na Martin Luther ilileta Ufufio la neno na kusababisha
mabadiliko makuu ya ufufio.
Wesley alisababisha utakaso wa ufufio na kuinuka kwa kanisa la kimethodisti.
William Booth alianzisha kazi ya msaada na utumizi wa uimbaji iliyogeuzwa kuwa nyimbo za kiroho .
Kanisa la ubatiso liligundua ubatiso wa maji iliyokuwa imefifia.
Wapentekoste wakagundua Roho Mtakatifu na kunena kwa ndimi pia karama za Roho katika kanisa ambazo zilikuwa zimefifia.
Kanisa la mitume likaanzisha huduma zaidi chache za uinjilisti, uchungaji, ualimu, unabii na la kimitume.
Kuanzia hapo tukatazama makanisa yakisisitiza vitu vya kiroho, kucheka kwa roho ,uangusho wa roho.
baraka za
Aina nyingi za ufufio imesabisha
Aina gani ya ufufio inayokuja nyakati za mwisho, mavuno ya mwisho ?
Unavuna unapopanda! aina ya ufufio tunayopanda (kuhubiri) ndicho tutavuna!
Amua aina ya ufufio unayoitaka.
Mungu yu tayari kutumia mtu yeyote aaminiye ili kunia ufufio.
Mungu yu tayari kutuma ufufio kwa kanisa yeyote
Ahadi za mungu wakati wote huwa na masharti.
Masharti mazuri
yakiwepo, mungu atatuma ufufio lakini wachache
Ingawa kuna aina
nyingi za makanisa na imani
Kufikia kiwango cha utayari kwa ufufio.
Kanisa kama familia
Watu kuwa na imani kwa mchungaji
11 Upendo wa mchungaji kwa watu
Hata kuteremka chini kwa watoto
Kushirikiana hata katika machungu yao na
shidazao.
111
Mchungaji mpya (au kanisa mpya -ni nadra sana kuwa na ufufio katika
makanisa ya kale')
Mchungaji wa kanisa la ufufio si
mzee, na sio mgeni aingiapo (sio
aliyezaliwa upya)
Mchungaji ana mwito wa kiungu na
maono kutoka kwa Mungu.
Mchungaji ataleta kitu kipya katika
kanisa
1V
Kuachilia vitu vya kale
Mchungaji katika kanisa la ufufio
hatafuata washirika wazee na utamaduni
katika kanisa.
Kuachilia uongozi kwa kila kiwango
(Tazama funzo la uongozi).
V
Fafanua kufikia
Mchungaji atafafanua aina za
ufikishaji / kufikia.
Mchungaji ana mpango rahisi ya
ufikishaji.
Aina tofauti ya ufikishaji kutoka
kanisa hadi kanisa lingine.
Kanisa linasimama na mchungaji na
kupokea maono yake
Wachungaji wenye maono hujulikana wa maana.
VI Andaa
washirika
Karama za roho. (kanisa lenye ufufIo
lazima iwe lenye kuchechemka)
Kujazwa na Roho Mtakatifu kwa ndani,
hubadilisha mdundo wa moyo wa kanisa.
VII
Mazoezi ya kiroho.
Moyo uliopondeka na toba.
Uwepo wa roho wa maombi ni wa maana sana,
na lazima angalau iwepo kwa baadhi ya wahirika
kanisani wa roho wa maombi, hakuna
ufufio.
Maombi
Kufunga
Weka ratiba ya maombi. kutubu dhambi
za taifa. Kumbukumbu la torati 7;14,
Danieli 9:3-5 Luka
4:3-5
Kila mshiriki lazima awe mfuaji wa nafsi.
Huruma kwa nafsi zilizopotea.
VII
Mahubiri yenye uzito.
kurudi kwa mambo ya msingi.
Injili kamilifu, sio sehemu ya neno.
IX
Msaada ya watenda kazi ni muhimu.
X
Kikundi wenye kujitolea.
Kamati ya wazee na watenda kazi.
X
Uzito wa kuabudu.
Jinsi ya kupima hali ya kiroho katika kanisa ni
kusikiliza kuabudu.
Nyimbo mpya na za kale sikwa sawa.
Mtindo usio mgumu sana.
Kila ufufio mpya huleta nyimbo mpya za ufufio.
XII Kasi ya pesa.
Pesa sio ya maana ili kuwe na ufufio.
Pesa haziwezi kuchangia iwapo kuna ukosefu wa Roho
mtakatifu.
Pesa haiwezi kuchukua nafasi
ya upako wa Roho Mtakatifu.
Hasira ya viongozi, kutoaminiwa hasa katika mahali pa pesa inazuia roho ya
ufufio.
XIII. umoja inahitajika.
Hakuna mwanya katika kizazi.
Umoja katika baraza la wazee
XIV Kuwa tayari kupokea mabadiliko kanisani.
XV. Mapatanisho
katika sehemu zote.
Wazazi/Watoto
Kisasi kipya na ya zamani kanisani.
Waliotalakiana wanaporejeana
Mapatanisho na makanisa mengine n.k
XV. Ugomvi wa madhehebu na utengamano lazima iondolewe. kanisa moja tu machoni pa Mungu.
XVI. Imani katika ufufio lazima
ienezwe kanisani . washirika kutarajia
ufufio katikati
XVII. Huruma kwa wenye dhambi lazima iwepo
XVIII. Kukubali kulipa gharama,
kufutlia mbali wasiwasi wa kiroho na pia kiburi maishani mwetu.
XIX. Utumizi wa vipawa vya wanawake na huduma zao imeshauriwa.
XX. Shida ya rangi lazima iondolewe /kuangamizwa .Makabila wakaribishwe katka kanisa wa ufufio.
XXI. Kuongoza ufufio.
1. Mipangilio mwafaka katika mikutano ya ufufio.2-5.
2.Mwito wa kuombea watu katika kila mkutano wa ufufio.
3. waombezi kuenda kuomba wakati wa mkutano.
4. Wahubiri waliopakwa mafuta.
5. Ibada iliyopakwa
6.Kazi ya kuwafwatilia ni lazima.
XXII. Kujitolea kwa mtu binafsi wakati wa ufufio ( mazoezi ya kibinafsi ya kiroho)
Kufungua na kuomba ni lazima hasa baadhi ya washiriki wa kanisa
Kuwa tayari kwa mateso, waliopoteza upako watatesa walio na upako.
ufufio wa hapo awali utateza na kuzuia ufufio unaoendelea sasa.
Ufufio inaanza na mimi -Nifanyaje ili niwe chombo katika mkono wa Mungu kwa ufufio ijayo?
1. Maombi Roho ya maombi – Usafishaji kiroho, dhambi iliyotendwa kwa kujua na kutojua.
Maisha ya maombi ya lazima ibadilishwe.
Kupatia maombi nafasi ya juu.
Kukiri, toba, kuacha, utakaso.
Uombezi, kusimama kwenye pengo.
Kufunga milango, elimu za upotofu n.k.
Uzidisho wa tunda za Roho -omba.
Silaha kamili ya Mungu.
Kuwa na huruma kwa wenye dhambi.
Kuabudu katika roho na kweli.
Ombi la Bwana.
Amri kumi
2. Mtindo wa
kufunga.
3. Vita vya
kiroho.
Ufuniko chini damu ya yesu.
Usafishaji kiroho hasa uambudu wa
miungu.
Kufunga (kufunga iliyotakaswa)
Maombi -wakati mwingine kukumbana
ana kwa ana na vita .
Kuabudu kwa roho na kweli.
Kumbuka hauwezi
kuzaa au kuiga 'Uchungu wa kuzaa'' Roho Mtakatifu ndiye awezaye kufanya hivyo.
Ukiiga basi
litakuwa la kimwili wala sio ya Roho mtakatifu.
Maongezi ya ndimi
inachochewa tu na Roho mtakatifu, na hauwezi kuamuru au kuzuia Roho mtakatifu,
La sivyo utamhuzunisha Roho mtakatifu.
Kwa upande
mwingine mori ya maombi ikiwepo juu yako na unahisi nguvu ya huruma/uguzo kwa
wale waliopotea usipoteze kamwe bali itunze , Ni wakati huo wa utakatifu
unaweza kuwa na ushindi mkubwa na kufanya kazi ya Mungu vyema.
Kuomba na
maombezi ukiogozwa na Roho wa maombi' itakufanya uwe na ujasiri kama simba na
inapotokea basi itakufanyaumsihi Mungu awarehemu wenye dhambi kwa kuwaokoa.
4.Nia:-
Lazima uwe na nia njema ili kuinua ufufio.
Matarajio : weka kila matarajio ya
kibinafsi chini
Wacha kumcha na kumpenda Baba na
mwana iwe usukumo maishani mwako
Kuwa na upendo na huruma kwa
wenye dhambi.
5.Maisha ya familia na ndoa.
Umuhimu :- Mungu kwanza ,familia ya pili tatu huduma yako kwa Bwana
6.Uchumi kuwa na mazoezi ya nidhamu.
7.Haki:- kuwa na ukweli ,haki kwa vitu vyote katika fedha katika maongezi vitendo kwa mwenzio ,watoto wapendwa , watenda kazin.k
8. Upenyezo
katika neno la Mungu.
Kusoma bibilia Majarida na vitabu yv
akikristo
Mawasilia/vyombo vya mawasiliano
9. Kutii na
kumcha Mungu.
10. usiwahi
kuchukua utukufu na heshima kutoka kwa Mungu bali nyenyekeeni kwa Mungu
XXIII. Vizuizo
vya ufufio.
Kuwepo kwa roho
ya kidunia, utamhusunisha Roho wa ufufio na itatoweka.
Nia mbovu za
wachungaji, matarijio kwa viongozi wasio na ukweli katika ufufio.
.
Wachuangaji
wanapoinua viburi vyao kanisani itamkwaza Roho Mtakatifu na ataondoka.
Ukosefu wa Roho wa
maombi itafanya maombi kufifia.
Kutowafuata
waliopokea wokovu, waliopokea wokovu kuachwa peke yao.
Hakuna kanisa
inayojitolea kwa moyo wote. Hatuwezi
kutarajia kufaulu katika kuinua ufufio wa kweli kama sisi (kanisa) wenyewe
hutuna ufufio ndani yetu.
XXIV Ujazwe na
Roho mtakatifu waefeso 5. 18.
XXV Roho wa
maombi Zech 12 :10 na warumi 8: 26
XXVI Umwagaji wa
roho mtakatifu kama siku ya pentekote inahitajika, kusababisha ufufio wa kudumu
pia umwagaji wa Roho na moto.
Yesu akasema "mtapokea nguvu, baada ya Roho mtakatifu
kuja juu yenu ,na mtakuwa mashahidi wangu judea, samaria na sehemu zote za
duniani''.(matendoya mituma1:8).
Ukosefu wa moto
wa ufufio, ambayo ni moto wa Roho Mtakatifu,basi ni ukosefu wa ufufio.
XXVII Moyo
uliyopondeka na roho wa maombi, vyote viwili vinahitajika kuwepo katika ufufio,
katika kuinua ufufio, viongozi lazima wawe wamebondeka, katika mioyo yao na roho zao.
Zaburi 51:17
Dhabihu ya Mungu ni moyo na roho
uliobondeka, ee Mungu hautaidharau.
XXVIII.
"Ratiba" inaweza kukusababisha kuacha mwelekeo wa ufufio, na kutomtazama Yesu.
Wapangaji wazuri na viongozi walio
imara hujaribiwa.
Wapangaji wazuri na viongozi walio
imara, mara nyingi humpinga Roho Mtakatifu, hasa wakati
wa ufufio.
Wapangaji wazuri hawamtegemei Roho
mtakatifu. Mwenye ujuzi katika mipangilio
mara nyingi huegemea uwezo wake
zaidi kuliko kuegemea Roho mtakatifu.